220 – Kwa Heri
Kwa heri, Mungu awalinde; Kwa heri, na awaongoze; Kwa heri, na kuwapa amani, Bwana awabariki.