219 – Pambazuka Nuru
Pambazuka nuru, Siku mpya yaja, Basi amkeni na kuimba, Ninyi nyote! Pambazuka nuru, Siku mpya yaja, Yesu atakaporudi kama Mfalme!