213 – Niwe Nao Uzuri Wa Mwokozi
Niwe nao uzuri wa Mwokozi, Nazo huruma Zake na usafi, Roho Mtakatifu anibadilishe, Aonekane Yesu ndani yangu.