1. Hatujui sa-a ya kuja kwwa Bwana, Lakini dakiki zasema karibu
Atakporudi,–lakini kwa kweli Hatujui sa-a.
Atakuja, kwa vile tukeshe;
Atakuja Mwokozi, Aleluya!
Atakuja kwa fahari yu Baba yake,–
Hatujui sa-a.
2. Pana nuru kwao wapendao haki, pana kweli katika chuo cha Mungu;
Unabii hufundisha kuja kwake,–Hatujui saa.
3. Tutakesha na tutaomba daima, Tutafanya kazi mpaka akija,
Tutaimba na tutasoma ishara,–Hatujui saa.