86 – Ukaribie Tena
audio
1. Ukaribie tena, ewe siku ya raha; Roho yakusalimu kama mwanga wa mbingu.
2. Raha yako tulivu, yafurahisha moyo; Yatuliza taabu, hata waisha mwendo.
3. Ee siku takatifu, sifa na maombi, Na kutuhekimisha., baraka yako kubwa.