78 – Mpaka Lini Bwana

( How Long, O Lord our Saviour )

1. Mpaka lini Bwana
Utakaa mbali?
Kumetuchosha moyo
Kukawia hivi.
Utatujia lini,
Ili tu furahi
Katika ile nuru,
Kuja kutukufu?

2.Mpaka lini, Yesu
Utaacha watu
Uliowakomboa
Wawe na mashaka?
Wachache waamini
Wachache wa tayari
Bwana Kukulaki

3.Waamshe watu wako;
Tangaza kilio:
“Mwe watakatifu,
Bwana yu Karibu!”
Utatujia lini,
Ili tu furahi
Katika ile nuru,
Kuja kutukufu?

 

WhatsApp
Listen to Mbarikiwa Radio

Instagram

Twitter

Recent Comments