(
015 – My Maker and My King )
- Mwumbaji, MfalmeVitu vyote vyako;
Ni kwa ukarimu wako
Ninabarikiwa,
Ni kwa ukarimu wako
Ninabarikiwa.
- Uliyeniumba,Nakutegemea;
Sina budi kuzisifu
Hisani zako kuu,
Sina budi kuzisifu
Hisani zako kuu.
- Nitatoa nini?Kwanza vitu vyote vyako.
Upendo wako wadai
Moyo wa shukrani,
Moyo wako wadai
Moyo wa shukrani.
- Nipewe neema,Niwe nauwezo
Wa kuishi kwako, Bwana:
Siku zangu, zako,
Wa kuishi kwako, Bwana:
Siku zangu zako.
WhatsApp
Instagram
Twitter
Recent Comments