(
103 – O God, Our Help )
- Mungu Msaada wetu tangu miaka yote,Ndiwe tumaini letu la zamani zote.
- Kivuli cha kiti chako ndiyo ngome yetu,Watosha mkono wako ni ulinzi wetu.
- Kwanza havijakuwako nchi na milima,Ndiwe Mungu; chini yako twakaa salama.
- Na miaka elfu ni kama siku moja kwako,Utatulinda daima. tu wenyeji wako.
- Bwana msaada wetu tangu miaka yote,Mlinzi wetu na ngome, daima, milele.
WhatsApp
Instagram
Twitter
Recent Comments