Home
Music
Nyimbo za Kikristo
Church Hymnal
Music Albums and Songs
Artistes
Blog
Daily Devotional
Health and Nutrition
The Stories Behind Hymns
Events
Give / Donate
About Us
6 – Kumekucha Kwa Uzuri
6 – Kumekucha Kwa Uzuri
( The Morning Bright With Rosy Light )
Your browser does not support the
audio
element.
Kumekucha kwa uzuri. Nafumbua macho;Baba amenihifadhi, Ni wake mtoto.
Bwana ni leo kutwa Ulinzini mwako;Nisamehe dhambi niwe Mikononi mwako.
Roho wako anikae Moyoni daima;Anitakase nione Uso wako mwema.
Tweet
WhatsApp
Listen to Mbarikiwa Radio
Instagram
Follow on Instagram
Twitter
Follow @MediaMbarikiwa
Recent Comments
Michelle B
on
Story Behind the Hymn: Joyful, Joyful, We Adore Thee
CB KELTON
on
Christians to Be Strictly Temperate, Governed by Principle, October 16