Home
Music
Nyimbo za Kikristo
Church Hymnal
Music Albums and Songs
Artistes
Blog
Daily Devotional
Health and Nutrition
The Stories Behind Hymns
Events
Give / Donate
About Us
5 – Na Tumwabudu Mfalme Mtukufu
5 – Na Tumwabudu Mfalme Mtukufu
(
083 – O Worship the King
)
Your browser does not support the
audio
element.
Natumwabudu huyo Mfalme,Sifa za nguvu zake zivume;
Ni ngao ni ngome Yeye milele,
Ndizo sifa zake kale na kale.
Tazameni ulimwengu huu,Uliyoumbwa ajabu kuu;
Sasa umewekwa pahali pake,
Hata utimize majira yake.
Kwa ulinzi wako kwetu Bwana,Twakushukuru U mwema sana;
Hupewa chakula kila kiumbe,
Kila kitu kina mahali pake.
Wanadamu tu wanyonge sana,Twakutumaini Wewe Bwana;
Kamwe haupungui wako wema,
Mkombozi wetu Rafiki mwema.
Tweet
WhatsApp
Listen to Mbarikiwa Radio
Instagram
Follow on Instagram
Twitter
Follow @MediaMbarikiwa
Recent Comments
Michelle B
on
Story Behind the Hymn: Joyful, Joyful, We Adore Thee
CB KELTON
on
Christians to Be Strictly Temperate, Governed by Principle, October 16