1 – Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu

( 073 – Holy Holy Holy )

  1. Umtakatifu! Mungu Mwenyezi! Alfajiri sifa zako tutaimba;
    Umtakatifu, Bwana wa huruma, mungu wa vyote hata milele.
  1. Umtakatifu! Na malaika Wengi wengi sana wanakuabudu wote;
    Elfu na maelfu wanakusujudu Wa zamani na hata milele.
  1. U mtakatifu! Imgawa gizaLakuficha fahari tusiione,
    U mtakatifu! Wewe peke yako Kamili kwa uwezo na pendo.
WhatsApp
Listen to Mbarikiwa Radio

Instagram

Twitter

Recent Comments