183 – Yesu Anaporudi

( 208 – There'll Be No Dark Valley )

1. Furaha na raha tutapata, Furaha na raha tutapata,
Furaha na raha tutapata Yesu anaporudi.

Yesu anaporudi (rudi) Yesu anaporudi (rudi); Furaha na raha tutapata Yesu anaporudi.

2. Tutaimba nyimbo za shangwe kuu, Tutaimba nyimbo za
shangwe kuu, Tutaimba nyimbo za shangwe kuu Yesu anaporudi.

3. Hapana machozi arudipo, Hapana machozi arudipo,
Hapana machozi arudipo, kwa wateule wake.

 

WhatsApp
Listen to Mbarikiwa Radio

Instagram

Twitter

Recent Comments