1. Kufariki naye Yesu! Usingizi wewe heri;
Raha isiyofujika kwa majozi na adui.
2. Kufariki naye Yesu! Lo! Ya kubwaga simanzi
Na kulala na amani hata Bwana awatuze.
3. Kufariki naye Yesu! Heri watakaoamshwa,
Wataona siku ile utukufu wake Bwana.
4. Kufariki naye Yesu! Wataamka aitapo;
Watapasua kaburi na kutoka watukufu.