1. Mimina upya nguvu toka juu;
Tupe pendo lako, ewe Mwokozi.
Twakusihi sana Yesu Mwokozi,
Tubatize upya, kwa Roho leo.
2. Kwako twalia, wenye maovu,
Osha moyo wetu, ututakase.
3. Kipaji cha juu, kitume kwetu,
Tubariki sasa, utufariji.
4. Isikilize, kwa moyo wazi,
Sauti ya Roho; ubarikiwe.