198 – Kaza sana macho

( I Washed My Hands )

1. Nilinawa mikono safi asubuhi, Itende kazi kutwa kwa Yesu
Yesu Mwokozi.

Kaza sana macho njiani kote, Utende kwa Yesu kazi njema tu.

2. Natega masikio nitambue wasaa,
Mikono na itende upole daima.

3. Macho yangu yachunga mikono kazini;
Ilindwe maovuni impendeze Yesu.

WhatsApp
Listen to Mbarikiwa Radio

Instagram

Twitter

Recent Comments