1. Upendo ni furaha ni kweli desturi
Yake kuzisahihisha njia zetu zote
Yu pendo tu watoto wake
Yu pendo mwana wa Mungu
Na sisi tupendane kama baba Mungu
Amri yake ndiyo hii kupendana sana
2. Duniani huzuni ugonjwa mauti
Kwa pendo tuwafariji wenye mahitaji
3. Na atakopokuja kutuchukua juu
Tutaimbia milele pendo lake Yesu