( We Praise Thee, O God )
- Twamsifu mungu mwana wa upendo, aliyetufia na kupaa juu.
Aleluya! Usifiwe, aleluya! Amin; aleluya usiwe, utubariki.
- Twamsifu mungu, roho mtukufu,Akatufunulia mwokozi wetu.
- Twamsifu mwana, aliyetufia,Akatukomboa na kutuongoza.
- Twamsifu mungu, wa neema yote,Aliyetwaa dhambi, akazifuta.
- Tuamshe tena, tujaze na pendo.Moyoni uwashe moto wa roho.