(
008 – We Gather Together )
Mtunzi :
- Unikie ninapolia, Uje M-kombozi;Moyo wangu wakutazamia, Uje M-kombozi.
Nimepotea mbali na kwangu, Nimetanga peke yangu;
Unichukulie sasa kwako: Uje M-kombozi.
- Sina pahali pa kupumzika, Uje M-kombozi;Unipe raha, nuru, uzima. Uje M-kombozi.
- Nimechoka njia ni ndefu, Uje M-kombozi;Macho yako kuona nataka, Uje M-kombozi.
- Bwana daima hutanidharau, Uje M-kombozikilio;Changu utanijibu, Uje M-kombozi.